Miongoni mwa picha za filamu zilizopita Jufe crew na wasanii mbali mbali ni mchakato wa kuwapa watazamaji na washabiki wetu filamu mzuri zenye mafundisho na burudani.
JUFE CREW Tukiwa tunasambaza Filamu ya MWIZI WA FTARI 2016 maeneo ya Konde Pemba na huyu ndio mnunuzi wa kwanza wa filamu hii na amepewa ofa ya cd 3 bure.