FILAMU MPYA

SULUHISHO Ni filamu inayoonesha changamoto za matumizi makubwa ya Nishati zinazopelekea kutumika vibaya kwa rasilimali misitu na uharibifu wa mazingira.Filamu hii iliyoandaliwa na JUFE FILM PRODUCTION kwa msaada mkubwa wa RE & EE project wakishirikiana na Umoja wa nchi za Ulaya na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar




Comments

Popular posts from this blog