JUFE CREW
Tukiwa tunasambaza Filamu ya MWIZI WA FTARI 2016 maeneo ya Konde Pemba na huyu ndio mnunuzi wa kwanza wa filamu hii na amepewa ofa ya cd 3 bure.
Miongoni mwa picha za filamu zilizopita Jufe crew na wasanii mbali mbali ni mchakato wa kuwapa watazamaji na washabiki wetu filamu mzuri zenye mafundisho na burudani.
oi
ReplyDelete